Tamasha ya uhai yahusisha walemavu kaunti ya Machakos.
440 views · Published 23 September 2018 · 2:00 · Indexed 25 September 2026
Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics
Gavana wa Machakos Alfred Mutua ameonya kuwa kuanzia mwezi wa Januari mwaka ujao, serikali yake itaanza kufunga majengo ambayo hayana suhula za kuwasaidia walemavu. Mutua alizungumza katika tamasha ya Uhai ya michezo mbalimbali ambayo imewaleta pamoja walemavu kutoka kaunti tofauti.
More from this channel
-
4:34
Iyanya performs some of his greatest hits on #theTrend
-
2:13
Bungoma county commissioner warns political leaders against violence
-
6:02
Uhuruto's Nakuru Campaign: President and DP seek to fortify perceived strongholds
-
2:13
Jubilee senator claims coast is no longer an ODM zone
-
3:35
Scare mongering rears its ugly head in Uasin Gishu
-
1:02
Civil society wants IEBC to bar politicians with with integrity questions
-
42:11
Land banking and agribusiness investment in Kenya
-
2:05
Retailers selling GoK 'Unga' above recommended price