Sherehe za jandoni: Utamaduni wa jamii ya Tachoni iliyoko Webuye, Bungoma

4,212 views · Published 12 December 2018 · 2:41 · Indexed 8 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · Sports

Watch on YouTube

Zaidi ya vijana 600 wa jamii ya Tachoni wametoka jandoni eneo bunge la Webuye Mashariki kaunti ya Bungoma hii leo. Sherehe hiyo inayojulikana kama Sangaya au Okulichana ilifanywa na kuongozwa na wazee wa Tachoni.

More from this channel