Naibu wa Rais William Ruto asema masoko ya kisasa yatajengwa nchini

446 views · Published 28 October 2018 · 1:13 · Indexed 27 September 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Naibu wa Rais William Ruto amesema kuwa Serikali kuu itaungana na serikali ya Kaunti kujenga masoko ya wachuuzi katika kila kaunti ili kufanikisha biashara. Kwa mpango huo Serikali inanuia kujenga masoko hayo kwa mtindo wa kisasa ili kuongeza nafasi za ajira kwa vijana. Ruto alizungumza hayo katika kanisa la PCEA kule Ruiru, Kaunti ya Kiambu ambapo alisema kuwa ujenzi wa soko la Githurai unaendelea.



Watch more NTV Kenya videos at ntv.co.ke and nation.co.ke.
Follow @ntvkenya on Twitter.
Like our page on Facebook: NTV Kenya.
Follow and Double tap on Instagram: NTV Kenya 
Join Our Telegram channel: www.telegram.me/NTVNewsRush

More from this channel