Gavana wa Baringo kufuatilia madaktari hewa ili kuzuia kaunti kupoteza pesa
213 views · Published 27 November 2018 · 1:16 · Indexed 28 September 2026
Channel: NTV Kenya · 2018 · Sports
Gavana wa Baringo, Stanley Kiptis, amewashangaza wakaazi wa kaunti hiyo baada ya kufichua kuwa hesabu ya madaktari wanaohudumu katika hospitali za kaunti hiyo sio inayosemekana na hivyo kuna wafanyikazi hewa. Kiptis amesema tayari wamegundua kuwa madaktari sita wa hospitali ya rufaa ya Kabarnet wanalipwa ila hawahudumu katika hospitali hiyo. Ufichuzi huo umeibua hofu kuwa kuna vituo vingine vya afya ambavyo huenda vina wahudumu hewa.
More from this channel
-
4:13
IEBC begins clearing candidates for MP countrywide
-
2:17
Kenya Red Cross Society says the drought is still far from over
-
4:34
Iyanya performs some of his greatest hits on #theTrend
-
0:23
T412's Milome explains the reason behind Nasa hao
-
8:19
Gilad and Superband reveal the inspiration behind Nairobi Yangu
-
2:13
Bungoma county commissioner warns political leaders against violence
-
6:02
Uhuruto's Nakuru Campaign: President and DP seek to fortify perceived strongholds
-
2:13
Jubilee senator claims coast is no longer an ODM zone