Rais na Raila watuzwa shahada za taadhima chuoni Oginga Odinga
1,761 views · Published 14 December 2018 · 2:42 · Indexed 2 October 2026
Channel: NTV Kenya · 2018 · Sports
Rais Uhuru Kenyatta na kinara wa Nasa, Raila Odinga, leo wamepewa shahada za taadhima za uzamili na chuo kikuu cha Jaramogi Oginga Odinga kwa mchango wao wa kuleta mapatano ya kisiasa nchini, baada ya mgogoro wa kisiasa uliotokana na uchaguzi mkuu wa 2017. Walivikwa shahada hiyo katika mahafali ya chuo hicho siku ya pili ya ziara ya rais Uhuru Kenyatta katika mkoa wa Nyanza. Awali, Rais alikuwa amelakiwa nyumbani kwa Raila Odinga huko Bondo kaunti ya Siaya.
More from this channel
-
4:13
IEBC begins clearing candidates for MP countrywide
-
1:06
Sports journalist apologises for attack on Damian Marley
-
2:17
Kenya Red Cross Society says the drought is still far from over
-
2:37
Retired Nyeri archbishop accused of speaking for the government during Madaraka Day prayer
-
4:34
Iyanya performs some of his greatest hits on #theTrend
-
4:42
T412 perform 'Flee' on #TheTrend
-
0:23
T412's Milome explains the reason behind Nasa hao
-
8:19
Gilad and Superband reveal the inspiration behind Nairobi Yangu