Vilipuzi vya wanajeshi wa KDF vyaua watoto wawili Samburu

282 views · Published 29 December 2018 · 2:05 · Indexed 4 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Viongozi wa kaunti ya samburu wamejitokeza kukashifu vifo vya watoto wawili katika mlipuko wa vilipuzi vinavyodaiwa kumilikiwa na jeshi la kdf ijumaa asubuhi walipokuwa malishoni katika kijiji cha naishamunye, eneo la archers post. viongozi hao wamesema kdf imezembea katika majukumu yao kuondoa vilipuzi hivyo, na kuyaweka maisha ya wakazi hatarini.

More from this channel