Gavana Obado kusalia rumande kwa siku mbili zaidi

1,238 views · Published 25 September 2018 · 1:34 · Indexed 2 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Gavana Okoth Obado atasalia rumande katika gereza la viwandani akisubiri uamuzi wa ombi lake la dhamana ambao utatolewa Alhamisi. Jaji Jessie Lessit ametoa uamuzi huo baada ya kusikiza pande zote mbele katika kesi ya mauaji ya Sharon Otieno. Huyu hapa Seth Olale na taarifa hiyo.

More from this channel