Kocha Hamisi Mohammed ajiandaa kwenda uingereza kwa mafunzo

228 views · Published 17 November 2018 · 0:48 · Indexed 25 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · Sports

Watch on YouTube

Naibu Kocha mkuu wa Harambee Stars ya wasiozidi umri wa miaka 20 Hamisi Mohammed atafunga safari ya kwenda  London Kaskazini Desemba tarehe 6 ili kuweka mikakati ya kupata mafunzo katika klabu ya Arsenal. Kama anavyofahamika Coach Kaka kwa sasa anaendelea kuwanoa wachezaji ibuka Huko Ngong kaunti ya kajiado akiwa mwasisi wa akademi ya Young Talent soccer.

More from this channel