Washukiwa 15 wanaodaiwa kufanya udanganyifu wa mitihani ya KCSE wanyimwa dhamana

347 views · Published 12 November 2018 · 0:45 · Indexed 11 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Washukiwa 15 waliokamatwa wiki iliyopita kwa madai ya kuhusika na wizi wa mtihani wa KCSE katika shule ya upili ya  Monianku huko Mugirango Kusini, kaunti ya Kisii watasalia rumande hadi Novemba 26 mwaka huu.

More from this channel