Raila aunga mkono rais kupinga ulafi wa wabunge
177 views · Published 7 December 2018 · 1:38 · Indexed 12 October 2026
Channel: NTV Kenya · 2018 · Sports
Kiongozi wa chama cha upinzani cha ODM, Raila Odinga, amewaomba wabunge waweke maslahi ya wakenya mbele na wasitishe mpango wao wa kujiongezea mishahara na marupurupu bungeni. Odinga ametaja hatua hiyo ya wabunge kuwa ulafi wa hali ya juu, bila ya kuzingatia ni kwa nini wakenya waliwachagua. Amewataka waheshimu katiba ambayo imeweka wazi viwango vya mishahara ambavyo viongozi wa kisiasa na wafanyikazi wa serikali wanapaswa kupokea.
More from this channel
-
4:13
IEBC begins clearing candidates for MP countrywide
-
1:06
Sports journalist apologises for attack on Damian Marley
-
2:17
Kenya Red Cross Society says the drought is still far from over
-
2:37
Retired Nyeri archbishop accused of speaking for the government during Madaraka Day prayer
-
3:53
Tanzanian farmers, like Kenyans, eagerly awaiting the use of GMOs - Food Friday
-
4:34
Iyanya performs some of his greatest hits on #theTrend
-
4:42
T412 perform 'Flee' on #TheTrend
-
0:23
T412's Milome explains the reason behind Nasa hao