Walazimishao mila ya upashaji tohara waonywa Trans-nzoia
345 views · Published 12 August 2018 · 2:05 · Indexed 27 September 2026
Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics
Huku msimu wa tohara ukiendelea katika baadhi ya jamii magharibi mwa Kenya, hofu imeibuka ya watu kulazimishwa kujihusisha na utamaduni huo hata kama wanatoka katika jamii zisizozingatia kaida hiyo. Serikali imewaonya wanaowashurutisha wenzao kupashwa tohara na kutaka kila mtu afuate mila na desturi za jamii yake.
More from this channel
-
4:13
IEBC begins clearing candidates for MP countrywide
-
4:34
Iyanya performs some of his greatest hits on #theTrend
-
0:23
T412's Milome explains the reason behind Nasa hao
-
2:13
Bungoma county commissioner warns political leaders against violence
-
6:02
Uhuruto's Nakuru Campaign: President and DP seek to fortify perceived strongholds
-
2:13
Jubilee senator claims coast is no longer an ODM zone
-
0:41
Eric Ouma joins Harambee Stars camp ahead of 2017 AFCON qualifier match
-
3:35
Scare mongering rears its ugly head in Uasin Gishu