Wanafunzi 31,337 kujiunga na shule za kitaifa mwaka ujao

234 views · Published 3 December 2018 · 1:41 · Indexed 1 November 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Wanafunzi 31,337 watajiunga na shule za upili za kitaifa kote nchini.Hayo ni kwa mujibu wa waziri wa elimu Amina Mohamed aliyezidnua shughuli ya uteuzi wa wanafunzi watakaojiunga na shule za upili katika taasisi ya KICD ,Nairobi. Waziri Amina amesema serikali itapania kutekeleza ahadi yake ya kila mtahiniwa kujiunga na shule ya upili huku katibu katika wizara hiyo Belio Kipsang naye akiahidi kujitolea kwa serikali kufaulisha elimu ya bure

More from this channel