Viongozi wa Mandera walaumu IEBC
2,691 views · Published 23 June 2017 · 1:00 · Indexed 22 October 2026
Channel: NTV Kenya · 2017 · News & Politics
Viongozi wa Chama cha Economic Freedom cha Mandera wameisuta tume ya IEBC kwa inavyoendesha shughuli ya kukagua sajili ya wapiga kura. Kwa mujibu wa viongozi hao, ukaguzi wa sajili hiyo wakati IEBC ilitoa muda wananchi wathibitishe kusajiliwa kwao umedhihirisha kuwa kuna idadi kubwa ya wapiga kura katika kaunti ya Mandera ambao majina yao hayako katika vituo walivyojisajili. Baadhi yao, wakiwemo viongozi hao, wamejipata wamesajiliwa katika maeneo tofauti. Sasa wanasema wamefika mahakamani kupinga kukaguliwa kwa sajili katika maeneo tofauti hadi pale IEBC itakubali kushauriana nao kuhusu mwelekeo utakaochukuliwa. Watch more NTV Kenya videos at ntv.co.ke and nation.co.ke. Follow @ntvkenya on Twitter. Like our page on Facebook: NTV Kenya. Follow and Double tap on Instagram: NTV Kenya Join Our Telegram channel: www.telegram.me/NTVNewsRush
More from this channel
-
4:13
IEBC begins clearing candidates for MP countrywide
-
1:06
Sports journalist apologises for attack on Damian Marley
-
5:55
IEBC clears several candidates with integrity questions
-
2:17
Kenya Red Cross Society says the drought is still far from over
-
2:37
Retired Nyeri archbishop accused of speaking for the government during Madaraka Day prayer
-
3:53
Tanzanian farmers, like Kenyans, eagerly awaiting the use of GMOs - Food Friday
-
4:34
Iyanya performs some of his greatest hits on #theTrend
-
4:42
T412 perform 'Flee' on #TheTrend