Timu ya Tusker Fc yamzindua Robert Matano kama kocha wake mpya
53 views · Published 24 April 2018 · 9:36 · Indexed 20 September 2026
Channel: KTN Entertainment · 2018 · News & Politics
Timu ya Tusker Fc imezindua Robert Matano kama kocha wake mpya baada ya kutimuliwa kwa aliyekuwa mkufunzi Sam Timbe siku ya Jumapili baada ya msururu wa matokeo duni.Matano atachukua usukani mara moja huku akinuia kuandikisha ushindi dhidi ya timu ya Wazito Fc siku ya Jumatano huku lengo lake kuu likiwa ni kuimarisha matokeo ya Tusker pamoja na kuiwezesha kumaliza katika nafasi bora ligini. SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/user/KTNClassics Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps: http://std.co.ke/apps/#android KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
More from this channel
-
2:02
Kilio Cha Ardhi:Baadhi ya wakazi wa Mombasa wanateta,wanadai kuwa walilaghaiwa na serikali
-
0:51
Wiper leader Kalonzo Musyoka wants NASA registered as a political party
-
1:45
Kapenguria heroes na Plateau queens washinda kombe la chapa dimba
-
5:11
PIC set to inspect car park facilities
-
3:14
Report released shows that 90 percent of organized criminal gangs are financed by politicians
-
2:56
Easter Celebrations: Christian faithful from across the country are today marking Good Friday
-
2:06
Sherehe ya kumuaga kifaru mweupe aliyekufa yafanyika Nanyuki
-
5:38
President Uhuru demands accountability from the cabinet