Aliyekuwa naibu gavana wa Kilifi auawa nyumbani kwake

3,362 views · Published 12 December 2018 · 3:37 · Indexed 21 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · Sports

Watch on YouTube

Aliyekuwa naibu gavana wa kaunti ya Kilifi, Kenneth Kamto, ameuawa. Kamto alipigwa risasi na majambazi saa kumi na moja alfajiri nyumbani kwake mtaani Nyali, Mombasa. Inasemekana kuwa genge hilo la majambazi lilimvamia Kamto nyumbani  na kuiba pesa kabla ya kuondoka. Sasa viongozi na wakaazi wa Mombasa wanataka polisi wawajibike na wakabiliane na ujambazi mitaani.

More from this channel