Watoto wawili waliokolewa kutoka kwa mama wa kambo ambaye amekuwa akiwadhulumu

1,109 views · Published 15 January 2018 · 2:00 · Indexed 3 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Watoto wawili mmoja wa umri wa miaka tisa na mwingine miaka mitatu waliokolewa kutoka kwa mama wa kambo ambaye amekuwa akiwadhulumu kwa muda.

More from this channel