Wabunge waidhinisha uteuzi wa Twalib Mbarak kama afisa mkuu mtendaji wa EACC

430 views · Published 18 December 2018 · 1:53 · Indexed 21 September 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Wabunge wameidhinisha uteuzi wa Twalib Mbarak Katika kikao maalum kuchukua wadhifa wa afisa mkuu mtendaji wa Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC). Wabunge hao wamemkumbusha Twalib jukumu atakaloshikilia kuendesha vita dhidi ya ufisadi nchini

More from this channel