Dada wanne waugua maradhi yasiyoeleweka Baringo

534 views · Published 30 December 2018 · 2:20 · Indexed 12 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Familia moja eneo la Kimalele, Baringo Kusini ina wasiwasi kufuatia maradhi ya kulemeza yanayowakosesha amani wanawake wanne wa familia hiyo. Kulingana na familia hiyo ugonjwa huo umewalemaza wanne hao kiasi cha wao kutoweza kutembea bila kusaidiwa. Inakisiwa kuwa dada hao wana matatizo ya uti wa mgongo ambayo ni nadra sana japo hutokana na urithi.

More from this channel