Kura ya maoni: 49% ya wakenya wasema DPP anawajibika ipasavyo

592 views · Published 9 December 2018 · 1:46 · Indexed 17 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Asili mia 49 ya wakenya  wanahisi kuwa ofisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma ndiyo inafanya kazi bora zaidi huku asili mia 59 ya wakenya ikilituhumu bunge kwa kukosa uwajibikaji. Hii ni kulingana na kampuni ya utafiti ya Infotrak. Aidha imebainika kuwa idadi kubwa ya wakenya wanaunga mkono muafaka wa makubaliano kati ya rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa upinzani Raila Odinga. Wakati huo huo wanahisi kuwa serikali inafanya juhudi za kutosha kupigana na ufisadi.

More from this channel