Wafugaji wa mbuzi watarajia kunufaishwa na mnada wa Kimalel
213 views · Published 8 December 2018 · 1:13 · Indexed 9 October 2026
Channel: NTV Kenya · 2018 · Sports
Wafugaji katika kaunti ya Baringo wanatarajiwa kunufaika na mnada wa mbuzi wa Kimalel ambao umepangwa kufanyika tarehe 22 mwezi huu. Mnada huo ambao ulianzishwa na rasi mstaafu Daniel Arap Moi unalenga kuboresha maisha ya wakaazi wa eneo hilo. Bei ya kila mbuzi inatarajiwa kuanzia shilingi elfu kumi na mbili na hiyo ni habari njema kwa wafugaji ambao wamekuwa wakilalamikia ada za juu za mawakala.
More from this channel
-
4:13
IEBC begins clearing candidates for MP countrywide
-
1:06
Sports journalist apologises for attack on Damian Marley
-
2:17
Kenya Red Cross Society says the drought is still far from over
-
2:37
Retired Nyeri archbishop accused of speaking for the government during Madaraka Day prayer
-
3:53
Tanzanian farmers, like Kenyans, eagerly awaiting the use of GMOs - Food Friday
-
4:34
Iyanya performs some of his greatest hits on #theTrend
-
4:42
T412 perform 'Flee' on #TheTrend
-
0:23
T412's Milome explains the reason behind Nasa hao