Wanafunzi wa chuo kikuu cha Rongo wapewa wosia
308 views · Published 30 September 2018 · 1:22 · Indexed 30 September 2026
Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics
Huku kesi ya mauaji ya Sharon Otieno ikiendelea, Naibu Chansela wa chuo kikuu cha Rongo, Profesa Samuel Gudu amwashauri wanafunzi wa chuo hicho kuhifadhi maadili mema huku wakizingatia masomo yao. Profesa Gudu aliwahimiza wanafunzi wa kike kujihadhari na kujitenga na mienendo inayoweza kuhatarisha maisha yao. Amewasihi wasiwe wepesi wa kudanganywa na mabwenyenye wa kuwapa pesa na kuwaharibia maisha yao. Hii ni baada ya mauaji ya kutatanisha ya Sharon Otieno ambaye alikuwa mwanafunzi wa chuo hicho. Gavana wa Migori, Okoth Obado na wasaidizi wake ni miongoni mwa washukiwa wakuu kwenye kesi hiyo.
More from this channel
-
4:13
IEBC begins clearing candidates for MP countrywide
-
1:06
Sports journalist apologises for attack on Damian Marley
-
2:17
Kenya Red Cross Society says the drought is still far from over
-
4:34
Iyanya performs some of his greatest hits on #theTrend
-
4:42
T412 perform 'Flee' on #TheTrend
-
0:23
T412's Milome explains the reason behind Nasa hao
-
8:19
Gilad and Superband reveal the inspiration behind Nairobi Yangu
-
2:13
Bungoma county commissioner warns political leaders against violence