Bangi Ihalalishwe? Mchakato ulioanzishwa na mbunge wa Kibera wazua maoni tofauti
1,488 views · Published 23 September 2018 · 2:09 · Indexed 1 October 2026
Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics
Suala la matumizi na ukuzaji wa bangi sio geni humu nchini na kwingineko duniani. hata hivyo baada ya wanasayansi kugundua mmea huo kuwa na faida katika matibabu, nchi tofauti zinahalalisha matumizi ya ukuzjai wa bangi. Nchi ya hivi punde kufanya hivyo ni afrika kusini. hapa kenya mbunge wa kibra ken okoth ameanza mchakato wa kuwasilisha mswada wa bangi. Tumeongea na wakenya kuhusu suala hilo na haya ni maoni yao.
More from this channel
-
4:13
IEBC begins clearing candidates for MP countrywide
-
1:06
Sports journalist apologises for attack on Damian Marley
-
2:17
Kenya Red Cross Society says the drought is still far from over
-
2:37
Retired Nyeri archbishop accused of speaking for the government during Madaraka Day prayer
-
4:34
Iyanya performs some of his greatest hits on #theTrend
-
4:42
T412 perform 'Flee' on #TheTrend
-
0:23
T412's Milome explains the reason behind Nasa hao
-
8:19
Gilad and Superband reveal the inspiration behind Nairobi Yangu