Naibu wa Rais William Ruto: Raila ana nia ya kuvuruga Jubilee
2,411 views · Published 30 September 2018 · 2:42 · Indexed 27 September 2026
Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics
Naibu rais William Ruto amemtuhumu kinara wa NASA Raila Odinga kuwa anapanga njama ya kukivuruga chama cha Jubilee akitumia makubaliano yake na Rais Uhuru Kenyatta. Akizungumza katika eneo la Kisauni alipopeana hati miliki 3,000 kwa wakazi wa Majaoni, Ruto amesema kuwa chama tawala kiko macho dhidi ya njama hiyo na kwamba dira ya Jubilee imeelekezwa katika miradi ya maendeleo na wala sio siasa.
More from this channel
-
4:13
IEBC begins clearing candidates for MP countrywide
-
4:34
Iyanya performs some of his greatest hits on #theTrend
-
0:23
T412's Milome explains the reason behind Nasa hao
-
2:13
Bungoma county commissioner warns political leaders against violence
-
6:02
Uhuruto's Nakuru Campaign: President and DP seek to fortify perceived strongholds
-
2:13
Jubilee senator claims coast is no longer an ODM zone
-
0:41
Eric Ouma joins Harambee Stars camp ahead of 2017 AFCON qualifier match
-
3:35
Scare mongering rears its ugly head in Uasin Gishu