Raia wa kike wa Italia ametekwa nyara Malindi
1,085 views · Published 21 November 2018 · 3:30 · Indexed 7 October 2026
Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics
Watu watano wanauguza majeraha ya risasi hospitalini Malindi baada ya kupigwa risasi na magaidi walioshambulia soko la Chakama eneo bunge la Magarini. Wakaazi wa eneo hilo wamesema kwamba magaidi walifyatua risasi ovyo kabla ya kumteka nyara mtaliano wa kike. Polisi wangali wanaendelea na msako wa kumuokoa mateka huyo. Watch more NTV Kenya videos at ntv.co.ke and nation.co.ke. Follow @ntvkenya on Twitter. Like our page on Facebook: NTV Kenya. Follow and Double tap on Instagram: NTV Kenya Join Our Telegram channel: www.telegram.me/NTVNewsRush
More from this channel
-
4:13
IEBC begins clearing candidates for MP countrywide
-
1:06
Sports journalist apologises for attack on Damian Marley
-
2:17
Kenya Red Cross Society says the drought is still far from over
-
2:37
Retired Nyeri archbishop accused of speaking for the government during Madaraka Day prayer
-
3:53
Tanzanian farmers, like Kenyans, eagerly awaiting the use of GMOs - Food Friday
-
4:34
Iyanya performs some of his greatest hits on #theTrend
-
4:42
T412 perform 'Flee' on #TheTrend
-
0:23
T412's Milome explains the reason behind Nasa hao