Wakili Tom Ojienda apata afueni baada ya mahakama kuamuru asijibu mashtaka hadi Februari

271 views · Published 31 December 2018 · 1:31 · Indexed 23 September 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Wakili Tom Ojienda amepata afueni baada ya mahakama kuu kutoa agizo la muda kuzuia kushtakiwa kwake hadi Februari kesi dhidi yake itakaposikizwa tena na kuamuliwa.

More from this channel