Chebukati asema kura ya maamuzi ikiitishwa IEBC iko tayari kusimamia

396 views · Published 26 December 2018 · 2:57 · Indexed 3 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Mwenyekiti wa tume ya mipaka na uchaguzi nchini, IEBC, Wafula Chebukati, ameshikilia kuwa tume hiyo iko tayari kuandaa kura ya maamuzi iwapo itahitajika kufanya hivyo. Aidha, Chebukati amekanusha madai kuwa kuna baadhi ya wanasiasa na watu fulani, wanaomshurutisha kutathmini upya mipaka ya maeneo bunge nchini.

More from this channel