Zaidi ya wafanyibiashara 1,400 wamepata vibanda sokoni Karatina

166 views · Published 23 November 2018 · 1:53 · Indexed 23 September 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Zaidi ya wafanyibiashara wadogo wadogo 1400 leo wamepata nafasi   katika Soko la Karatina, lililofunguliwa rasmi wiki tatu zilizopita na Rais Uhuru Kenyatta. Utoaji wa vibanda  sokoni unaotekelezwa na serikali ya kaunti ya Nyeri hata hivyo  umeibua hisia tofauti huku baadhi ya wafanyabiashara wakilalamikia uhaba wa nafasi.Mwanahabari wetu Melita Oletenges ana maelezo zaidi.

More from this channel