Mtahiniwa wa KCPE apatikana akiwa amefariki Murang'a
2,998 views · Published 21 November 2018 · 2:21 · Indexed 6 November 2026
Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics
Police wameanza uchunguzi wa kifo cha mtahiniwa wa KCPE, Juliano Kanyonyo, aliyepatikana ameaga dunia chumbani mwake katika kijiji cha Gatitu kaunti ya Murang'a. Ukaguzi wa maiti umeonyesha kuwa marehemu alipigwa na silaha butu kichwani. Kanyonyo alifariki siku moja kabla ya kutangazwa kwa matokeo ya KCPE.
More from this channel
-
4:13
IEBC begins clearing candidates for MP countrywide
-
1:06
Sports journalist apologises for attack on Damian Marley
-
5:55
IEBC clears several candidates with integrity questions
-
2:17
Kenya Red Cross Society says the drought is still far from over
-
2:37
Retired Nyeri archbishop accused of speaking for the government during Madaraka Day prayer
-
3:53
Tanzanian farmers, like Kenyans, eagerly awaiting the use of GMOs - Food Friday
-
4:34
Iyanya performs some of his greatest hits on #theTrend
-
4:42
T412 perform 'Flee' on #TheTrend