Batalioni ya 17 yakabidhiwa bendera kaaika sherehe ya Jamhuri

618 views · Published 12 December 2018 · 2:59 · Indexed 8 November 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · Sports

Watch on YouTube

Kenya imeadhimisha miaka hamsini na mitano ya sikukuu ya Jamhuri kwa kuandaa sherehe za jeshi ambazo mara ya mwisho kushuhudiwa ilikuwa mwaka wa 1998. Kukabidhiwa kwa bendera kwa batalioni ya 17 pia kulifanya rais ambaye ni amiri jeshi mkuu kuvaa mavazi ya sherehe ya jeshi la nchi kavu tangu awe rais.

More from this channel