Shule ya Ikombe yajikomboa baada ya watahiniwa 94 kupata alama 400 na zaidi

1,464 views · Published 20 November 2018 · 4:01 · Indexed 29 September 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Shule ya msingi ya Ikombe katika kaunti ya Machakos imewashangaza wengi kwa kupata matokeo mazuri katika mtihani wa KCPE mwaka huu. Shule hiyo ilikuwa na watahiniwa 95 na wote walipata alama 400 na zaidi isipokuwa mmoja tu aliyepata alama 399. je nini ilikuwa siri ya matokeo hayo?

More from this channel