Naibu wa Rais William Ruto azuru Lamu kuwapa wakaazi leseni maalum

1,200 views · Published 18 December 2018 · 2:01 · Indexed 27 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Naibu wa rais William Ruto amesema kwamba mpango wa tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC wa  kutaka kuunganisha maeneo bunge ni kinyume na matarajio ya  ugatuzi. Naibu wa rais amesema hayo huko Lamu alikotaka pia wizara ya mazingira kuwapa leseni maalum wakaazi wa eneo hilo ili wanufaike na  mikoko.

More from this channel