'Fisi mla watu' atatiza wakaazi wa Laikipia Magharibi

2,111 views · Published 21 June 2017 · 1:20 · Indexed 23 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2017 · News & Politics

Watch on YouTube

Ajuza mmoja katika sehemu ya Muhetetu Laikipia Magharibi anauguzwa hospitali baada ya kushambuliwa na fisi  nyumbani kwake katika kijiji cha Karaba. Lolani Kalu na taarifa hiyo.

More from this channel