Kenya yashauriwa iwekeze katika ukuzaji wa vipawa
193 views · Published 23 November 2018 · 0:44 · Indexed 26 October 2026
Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics
Aliyekuwa mshambuliaji wa Liverpool na timu ya taifa ya Uingereza Robbie Fowler anaamini kwamba njia pekee ambayo kandanda ya kenya na Afrika kwa jumla itafanikiwa ni kuekeza katika ukuzaji vipaji vya wanasoka wanaoibuka. Nyota huyo ameyasema hayo katika uwanja wa Camp Toyoyo mtaani Jericho hapa jijini Nairobi, akiandamana na rais wa FKF Nick Mwendwa na afisa wa Barclays Kenya Jeremy Awori. Akiwa hapa Camp toyoyo aliendesha Kliniki ya soka kwa wachezaji wa Wakfu wa aliyekuwa nahodha wa Harambee Stars Musa Otieno. Kesho Robbie Fowler takuwa na shughuli huko Two Rivers Mall kabla ya kuhitimisha ziara yake kwa kuhudhuria makala ya 24 ya tamasha la Koroga. Aidha Fowler yuko nchini kwa hisani ya Barclays Kenya, ambayo ni mwanachama wa Absa Group Limited.
More from this channel
-
4:13
IEBC begins clearing candidates for MP countrywide
-
1:06
Sports journalist apologises for attack on Damian Marley
-
5:55
IEBC clears several candidates with integrity questions
-
2:17
Kenya Red Cross Society says the drought is still far from over
-
2:37
Retired Nyeri archbishop accused of speaking for the government during Madaraka Day prayer
-
3:53
Tanzanian farmers, like Kenyans, eagerly awaiting the use of GMOs - Food Friday
-
4:34
Iyanya performs some of his greatest hits on #theTrend
-
4:42
T412 perform 'Flee' on #TheTrend