Rais Uhuru Kenyatta aanza rasmi ziara yake ya siku mbili eneo la Nyanza

1,177 views · Published 13 December 2018 · 3:31 · Indexed 10 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Rais Uhuru Kenyatta hii leo ameanza rasmi ziara yake ya siku mbili eneo la Nyanza. Hii ni mara ya kwanza kwa rais Kenyatta kuzuru eneo hilo tangu apatane kisiasa na kinara wa upinzani, Raila Odinga, mnamo Machi. Wenyeji wamedhihirisha furaha yao kufuatia ziara hiyo huku wakisema italifaidi eneo hilo pakubwa.

More from this channel