Rais wa Msumbiji ameanza ziara yake ya siku tatu humu nchini

737 views · Published 21 November 2018 · 0:55 · Indexed 7 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji ameanza rasmi ziara ya siku tatu humu nchini baada ya kukutana na rais Uhuru Kenyatta katika ikulu ya Nairobi. Filipe alikagua gwaride la heshima kabla ya kufanya mazungumzo na mwenyeji wake. Mazungumzo hayo yalilenga kuimarisha uhusiano wa kibiashara katika mataifa hayo mawili.

More from this channel