Watahiniwa watatu washtakiwa Garissa dhidi ya udanganyifu wa KCSE

302 views · Published 13 November 2018 · 2:55 · Indexed 5 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Katibu mkuu katika wizara ya elimu profesa Belio Kipsang amesema kuwa watahiniwa wanne waliozuliwa kuendelea na mtihani huenda wakapata nafasi ya kufanya mtihani wakati mwingine katika siku za usoni. Watatu miongoni mwao ambao wanatoka kaunti ya Garissa wamefikishwa mahakamani leo.

More from this channel