Gavana Kivutha Kibwana ajitenga na Kalonzo Musyoka

3,697 views · Published 16 December 2018 · 3:35 · Indexed 23 September 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · Sports

Watch on YouTube

Gavana wa Makueni, Kivutha Kibwana, sasa anasema hatolazimika kumuunga mkono kiongozi wa Wiper, Kalonzo Musyoka, katika azma yake ya urais mwaka 2022. Akizungumza katika sherehe za siku ya Jamhuri, Kivutha alimshutumu kiongozi wa chama cha Wiper kwa kumtumia watu kumshinikiza kumuunga mkono. Gavana Kivutha hata hivyo amesema haoni ni sababu gani ya kumuunga mkono, hasa baada ya matamshi yake ya kuwa mtu wa mkono wa rais.

More from this channel