Wanafunzi wawili wapata alama ya juu ya 453 katika mtihani wa KCPE

872 views · Published 19 November 2018 · 3:40 · Indexed 4 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Wanafunzi 2 wamekuwa kidedea kwa alama sawa katika mtihani wa kitaifa KCPE kama yalivyoashiria matokeo yaliyotangazwa rasmi leo na waziri Amina Mohamed. Wanafunzi hao waliopata alama 453 kwa jumla ya alama 500 ni miongoni mwa wanafunzi elfu kumi na mbili waliopata alama mia nne na zaidi. Sharon barang'a anatueleza mengi kuhusu matokeo ya leo ambayo yameonyesha kuimarika ikilinganishwa na matokeo ya mwaka jana

More from this channel