Polisi wachukuwa hongo kaunti ya Baringo badala ya kukagua magari

1,502 views · Published 12 November 2018 · 3:30 · Indexed 12 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Kizazaa kimeshuhudiwa barabarani hii leo kote nchini ambapo shughuli za usafiri zilikatizwa kufuatia msako wa magari ya uchukuzi wa umma. abiria walilazimika kutembea huku wengine wakitegemea treni au magari ya kibinafsi kufika kazini.

More from this channel