Usafiri mkesha wa Krismasi: Hali ilivyo katika vituo vya mabasi Nairobi

762 views · Published 24 December 2018 · 2:51 · Indexed 28 September 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · Sports

Watch on YouTube

Huu ukiwa mkesha wa Krismasi, wananchi wengi wangali katika shughuli ya kutafuta usafiri katika maeneo tofauti nchini. Abiria wengi wametatizwa na uhaba wa magari na ongezeko la nauli.

More from this channel