Mama akamatwa kwa madai ya kumtupa mtoto chooni

1,582 views · Published 15 November 2018 · 2:15 · Indexed 8 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · Sports

Watch on YouTube

Mtoto mchanga amepatikana akiwa hai katika shimo la choo eneo la Igonga, kaunti ya Kisii, huku maafisa wa misitu wakinasa lori lililokuwa likisafirisha mbao 1300 za mti wa sida za thamani ya shilingi laki nne. Kwa hayo na mengine ni katika matukio majimboni.

More from this channel