Sheria za barabarani zaonekana kupuuzwa na matatu

1,779 views · Published 4 June 2017 · 1:06 · Indexed 1 November 2026

Channel: NTV Kenya · 2017 · News & Politics

Watch on YouTube

Katika msimu wa siasa, taswira ya kulegezwa kwa sheria inajitokeza sio tu kwa walio katika mikutano ya hadhara bali pia watumia magari katika kampeni. Maafisa wa kuhakikisha usalama barabarani pia wanaonekana kutokuwa makini katika kutekeleza sheria hizo hasa kama inavyoendelea kubainika.

More from this channel