Mudavadi aunga mkono juhudi za Rais Kenyatta kuangamiza ufisadi

280 views · Published 9 December 2018 · 1:25 · Indexed 26 September 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Kiongozi wa chama cha Amani Congress Musali Mudavadi ameunga mkono juhudi za rais Uhuru Kenyatta kupambana na ufisadi nchini, huku akisisitiza kuwa dhana kuwa baadhi ya makabila yanalengwa ni siasa duni. Mudavadi aliyezungumza katika kanisa la PCEA Kikuyu, alisema kuwa rais Kenyatta amejikaza vilivyo katika vita dhidi ya ufisadi na wanaojificha katika makabila yao ni wanafiki. Aidha alidokeza kuwa, wafisadi hawaibii kabila ila wanajali maslahi yao binafsi

More from this channel