Kamati ya IEBC imeanza kusikiza kesi tofauti za mizozo ya uteuzi

176 views · Published 5 June 2017 · 3:06 · Indexed 26 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2017 · News & Politics

Watch on YouTube

Kamati ya IEBC ya kusuluhisha mizozo iliyotokana na shughuli ya uteuzi  iliyokamilika wiki jana inatarajiwa kuanza kutoa maamuzi kesho kuhusu kesi ambazo imesikiza.

  Hii leo kamati hiyo inayoongozwa na mwenyekiti wa IEBC ilisikiza malalamishi kutoka kwa wagombea mbalimbali ambao hawajaridhika na jinsi maafisa wa uchaguzi waliandaa uteuzi. Mwanahabari wetu Andrew Ochieng ana  mengi. 

Watch more NTV Kenya videos at ntv.co.ke and nation.co.ke.
Follow @ntvkenya on Twitter.
Like our page on Facebook: NTV Kenya.
Follow and Double tap on Instagram: NTV Kenya 
Join Our Telegram channel: www.telegram.me/NTVNewsRush

More from this channel