Waziri wa kilimo Mwangi Kiunjuri alaumu hazina kuu kuhusu sakata ya mahindi

147 views · Published 25 October 2018 · 1:37 · Indexed 30 September 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Waziri wa kilimo Mwangi Kiunjuri amalaumu wizara ya hazina kuu ya serikali kuhusiana na malipo ya shilingi bilioni 16 yaliyotolewa kwa waagiza wa mahindi kutoka mataifa ya Afrika Kusini na Mexico. akiongea mbele ya kamati ya seneti inayoshughulikia sakata ya mahindi, Kiunjuri alisema hazina kuu ya serikali ilichochea sakata hiyo ilipotoa chapisho katika gazeti rasmi la serikali kuidhinisha uagizaji wa mahindi kutoka nje bila kushauriana na wizara ya kilimo.

More from this channel