Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Kenyatta auawa Kisumu

4,194 views · Published 25 July 2018 · 2:11 · Indexed 27 September 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Kenyatta ameuwawa katika hali ya kutatanisha mjini Kisumu. Beverline Akinyi alipatikana ameuwawa na kufichwa katika  buti ya gari mtaani migosi kaunti ya Kisumu. Namukabo Werungah ana maelezo zaidi

More from this channel