Wakaazi wanalalamika nauli Mombasa zimeongezwa kwa 50%
912 views · Published 30 November 2018 · 2:10 · Indexed 14 October 2026
Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics
Polisi wameanza oparesheni ya kukabiliana na matatu zinazotoza nauli kuzidi kiwango cha kawaida katika kaunti ya Mombasa, baada ya wakaazi kulalamikia kuongezwa maradufu kwa nauli. Baadhi ya matatu zinatoza nauli ghali licha ya polisi kutoa onyo kwa madereva na makondakta. aidha maafisa wa trafiki pia wanadaiwa kuhangaisha wahudumu wa boda boda na tuktuk pamoja na kula hongo. Kevin Mutai anaarifu zaidi
More from this channel
-
4:13
IEBC begins clearing candidates for MP countrywide
-
1:06
Sports journalist apologises for attack on Damian Marley
-
2:17
Kenya Red Cross Society says the drought is still far from over
-
2:37
Retired Nyeri archbishop accused of speaking for the government during Madaraka Day prayer
-
3:53
Tanzanian farmers, like Kenyans, eagerly awaiting the use of GMOs - Food Friday
-
4:34
Iyanya performs some of his greatest hits on #theTrend
-
4:42
T412 perform 'Flee' on #TheTrend
-
0:23
T412's Milome explains the reason behind Nasa hao