Ufisadi Kenya Power: Maafisa wandamizi wazuiliwa polisi

1,272 views · Published 14 July 2018 · 2:54 · Indexed 25 September 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · Sports

Watch on YouTube

Mtego wa makachero wa kitengo cha uchunguzi wa jinai umewanasa maafisa waandamizi wa kampuni ya usambazaji umeme nchini, Kenya Power  wanaodaiwa kuhusika na visa vya ufisadi. Zaidi ya maafisa watano wandamizi wa kampuni hiyo wanazuiliwa polisi huku watuhumiwa zaidi wakiendelea kujisalimisha.

More from this channel