Matayarisho ya kumkaribisha Obama nchini

2,231 views · Published 13 July 2018 · 3:18 · Indexed 27 September 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · Sports

Watch on YouTube

Matayarisho ya kumpokea aliyekuwa rais wa Marekani Barack Obama yanaendelea kijijini Kogelo. Wajasiriamali tofauti   wanatayarisha bidhaa zao wakitarajia kufanya maonyesho na kuziuza wakati wa ziara hiyo. Biashara za hoteli zimenoga huku watu wakifurika katika eneo hilo wakitarajia kupata fursa ya kumuona Obama. Huyu hapa Namukabo Werunga na mengi.

More from this channel