Mikakati ya Kenya ya kuuza nyama ng'ambo

102 views · Published 17 October 2018 · 0:54 · Indexed 4 October 2026

Channel: NTV Kenya · 2018 · News & Politics

Watch on YouTube

Huenda Kenya ikaanza kuuza mifugo katika soko la kimataifa iwapo mipango ya Serikali itafua dafu.Kulingana na Katibu wa mifugo katika wizara ya kilimo, serikali iko katika mkondo wa mwisho wa kuandaa miundo misingi itakaiwezesha kuanza mradi huu mwaka ujao.Hapo awali uwezekano wa kuuza mifogo katika soko la kimataifa ulikumbwa na changamoto ya maradhi ya mifugo.

More from this channel